| I. Wahitimu wa kidato cha nne, kidato cha sita na walimu waliohitimu Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali na Msingi, wenye sifa zilizobainishwa katika tangazo hili wanaruhusiwa kutuma maombi | View Entry Requirements | Register Now |
II. Fomu za kujiunga na Mafunzo zitatolewa kupitia tovuti ya chuo Waombaji wote wanashauriwa kuandika anuani kamili, barua pepe na namba ya simu inayopatikana kwa mawasiliano zaidi; |
Download Form | |
|
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe |
30/08/2024 |