The college is located at Temeke Mandela Road NHC buildings Nearby to Uhuru national Stadium, Dar es Salaam

UCA | "Inspiring Excellence"

Admission September 2024 is Now Open | UCA TEACHERS COLLEGE HAS FULLY REGISTERED BY MINISTRY OF EDUCATION, REGISTRATION NO. E0684, WELCOME TO UCA TEACHERS COLLEGE THE COLLEGE IS LOCATED AT TEMEKE MANDELA ROAD NHC BUILDINGS NEARBY TO UHURU NATIONAL STADIUM, DAR ES SALAAM. MOB: +255 652381328, +255 762381328 e-mail: info@ucatz.ac.tz UCA TEACHERS COLLEGE
WELCOME TO UCA TEACHERS COLLEGE
UCA TEACHERS COLLEGE HAS FULLY REGISTERED BY MINISTRY OF EDUCATION, (REG NO.E0684)
Email: info@uca.ac.tz, Temeke,Dar es Salaam,
(i) Wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la I-III kwa kiwango cha “Principal Pass” mbili (02) Kwa masomo ya jiografia na historia. Aidha, kwa waombaji waliosomea masomo ya Economics, Commerce na Book Keeping waombe kozi ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Awali.

Principal Pass” mbili (02) Kwa masomo ya jiografia na historia

(ii) Walimu waliohitimu mafunzo ya Ualimu ngazi ya Astashahada (Cheti) ya Ualimu Elimu ya Awali au Msingi. Aidha waombaji wa mafunzo watakaochaguliwa watapangwa kwenye mikondo kulingana na ufaulu katika Mtihani wa Taifa wa Ualimu ngazi ya Astashahada ya Elimu ya Ualimu.

ufaulu katika Mtihani wa Taifa wa Ualimu ngazi ya Astashahada ya Elimu ya Ualimu.